Daylight Center and School
  • Daylight Home
  • Who We Are
  • Daylight Newsletters
  • Nomads in Video
  • Pray With Us
  • Support Daylight

Daylight Senta na Shule: Elimu, Upendo, na Tumaini

Picture
 Daylight Senta ni makao ya watoto na shule, na pia ni eneo wa kuwafikia watoto kule mashinani waliko ambao panaishi wafugaji wa kuhamahama katika nyanda za juu ya Kenya ili hao watoto waweze kujipatia sehemu salama, chakula, elimu na uzaidizi wa kutosha.Mradi huu uluanzishwa na viongozi kutoka jamii hizo wa kuhamahama ambao waliona vyema kuchangia shughuli zinazochangia amani,elimu, na mtazamo mpya kwa jamii wao.Hivyo basi, Daylight huleta pamoja watoto kutoka jamii sote za wafugaji. Jamii hizi wamekuwa na migorogoro baina yao inayotokana na uwizi wa mifugo na hvyo basi jamii hizo inahitaji viongozi wapya ambao itabadilisha mazingira na utamuduni unaokusa amani na maendeleo.


Maishi kabla Daylight

Picture
 Watoto kutoka jamii za wafugaji hutumia wakati wao mwingi kuchunga ng'ombe, kujitafutia chakula, kukwepa hatari inayotakana na vita ya uwizi wa mifugo. Hawana nafasi ya kwenda shule hata kidogo.Mashule ya Kenya huitiza nauli na hiyo ni kizingiti kikubwa kwa watoto kutoka sehemu hizo. Watoto wengi basi huwawa katika vita hivyo, wengine huaga kuputia ukosefu wa chakula ama magonjwa. Hatimaye, wengine upoteza tumaini na kunanza kujihuzisha na uwizi wa mifugo. Daylight inalenga kukomesha huo mtindo unaoletwa na umasikini kwa kuwapa hawa watoto na jamii tumaini na mtasamo mpya. Makao ya Dylight iko katika mji wa Kapenguria eneo inayopakana na na sehemu ambao vita hizo na makabila hayo wa kuhamahama wanapoishi katika ponde la ufa.Wata hao wanakiziwa kuwa ni watu 80,000. 


Mwelekeo wa Makao ya Daylight na School

Picture
Makao ya Daylight na Shule inatazamia kuungana na jamii zote na viongozi wote katika kupambana na hatrari unaoletwa na uwizi wa ng'ombe, ujambazi, na ukosefu wa elimu. Kwa kuhimiza na kusisistiza elimu, miundo mpya, hali zinginezo za maisha, tunatazamia kukuza amani na maendeleo kaika sehme yote hiyo wanaoishi jamii za wafugaji.


Anwani:

Mkurugenzi na Mwanzilishi Mojawepo, Umerikani
Nathan Roberts, Mdiv.
Barua pepe: daylightcenter@gmail.com


Mkurungezi na Mojawepo-mwanzilishi, Kenya 
Michael Kimpur, M.A.O.L
Barua Pepe: daylightcenterkenya@gmail.com